Friday, January 29, 2010

Vogue 'Sports'



Hata haya mambo yanawezekana bora malengo tu! Ila mashine ya nguvu sana

Benz-Front



Hii mashine matata sana,full burudani..yaani vijana wenyewe wanasema 'Nyepesii'

Benz- Doors Open



Wakati mwingine unathubutu kusema kweli kuna watu wanafaidi sana haya maisha,hebu angalia huu usafiri.

Benz-Back

Tuesday, January 26, 2010

Sitting Room



This is Kul....

Dinning room


Kikubwa hapa ni utashi wa kufananisha rangi,vitu vyote vinapatikana hapa hapa kwetu

Bedroom..

Mchanganyo wa rangi za furniture unavutia sana na hata infact rangi ya ukuta ina match kidogo na furniture na chumba kinakuwa na mwanga wa kutosha.....!

Dinning room


nimependa matching ya furniture,hawa jamaa wako smart sana

Kidds..bedroom


nice bedroom,for the kids..

Monday, January 25, 2010

Houses


nice??

Houses

napenda sana sebule simple,nice arrangement sio sebule inajaa mikolokolo kama store..tehetehe

Houses


Kumekuwa na mabadiliko ya aina za rangi zinazotumika kwenye nyumba nyingi sasa hivi,watu wameacha zile rangi za 'kukariri'

Saturday, January 23, 2010